![Best Wedding Songs Mix](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/25/1d010d7a1d2a4f43a9350d1ed62e567f_464_464.jpg)
Best Wedding Songs Mix Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Best Wedding Songs Mix - Best SDA Music
...
ndoa nimpango takatifu toka mwanza ujumbe njema kutaka kwa baba yahitajika hekma kuitunza hadi kifo kiwatenganishe× 2 mke si kidude chakujaribu miguu yako na mume si kipaza sauti chakupazia kelele mpendaneni msichokozaneee amani ya bwana iwe ndani yenu ×2 kazi kwanu sasa maishani mwenu mdumu milele mwenye upendo wa yesu ni mungu pekee awezakuwalindaa nakutatu×2wa mashaka yenu ya maisha ×2. muuuwe mfano bora kwa watoto wenu waonyeshe njia ile ya uzima ya wokovu nanyii watoto wote watiini wazizi wenu nibaraka yake mungu tawakiri pia,,,,,,,,,,