![Best Of Pillars Of Faith Ministers](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/08/6cc9c870630f4961837d33598fed6a9b_464_464.jpg)
Best Of Pillars Of Faith Ministers Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Best Of Pillars Of Faith Ministers - Best SDA Music
...
Mbna chuki kati ya waumini uwapi upendo upendo ule wa kwanza kwanini Sasa tuwe na utengano ikiwa tumeokolewa Kwa neema tutaketije pamoja na Mungu
aliyemtoa mwana wake wa peke wape dwa ninawasihi tupandane ikiwa tuwatotoo wa Mungu
upendo huvumilia haujivuni haukosi kuwa na adabu hautafuti mambo yake kamwe Tena huvumilia hugharimu ikiwa tuna upendo tuwake Mungu wapenzi tutafute upendo
Ee Mungu wewe ni nguvu yetu ilete baraka kwetu sisi Wana wako Haki Yako iwe ni nguvu yetu uwe faraja yetu hata Kwa machungu upendo na amani tujazie undugu uzidi uhasama na kisasi mbona majirani tunapigana tufunze upendo tukakumbatiane
repeat chorus