![Best SDA Songs Mix 3](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/25/bca60973daf84264a9ab9e8ba3ebcb29_464_464.jpg)
Best SDA Songs Mix 3 Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Best SDA Songs Mix 3 - Best SDA Music
...
Swetie sweetie paroles
Hatimaye ni leo
Ni siku yetu
Siku yetu muhimu
Harusi yetu
Uwepo wenu nyote eh eh
Kwetu ni kitu
Kwetu ninyi ni ndugu
Leo na kesho
Harusi maua, ng'aring'ari wanapendeza
Leo ni furaha shangwe na furaha
Harusi mauwa, tabasamu suti na shera
Wacha tufurahi sote tufurahi
Sweetie sweetie sweetie
Eh sweetie
Nahapa tulipo
Ipo
Sweetie sweetie baby
Eh sweetie
Nahapa tulipo
Ipo
Sasa nyumba moja, mwili mmoja, kila kitu ni moja tuwe pamoja
Upendo naongeza nawe ongeza
Heshima na pandisha, tuwe pamoja
Sweetie sweetie sweetie
Eh sweetie
Sasa wewe ni mimi, mimi ni wewe
We ndo mwandani wangu rafiki yangu
Sasa wewe ni mimi, mimi ni wewe
We ndo mwandani wangu rafiki yangu
Na wazazi wameona wakaturuhusu
Kwa furaha wakasema eh ""Tumewabariki""
Na Mwenyezi Mahulana atatubariki
Tukazae na tulee eh
Watoto wazuri
Sweetie sweetie sweetie
Eh sweetie
Nahapa tulipo
Ipo
Sweetie sweetie baby
Eh sweetie
Nahapa tulipo
Ipo
Sasa nyumba moja, mwili mmoja, kila kitu ni moja tuwe pamoja
Upendo naongeza nawe ongeza
Heshima na pandisha, tuwe pamoja
Sweetie sweetie sweetie
Eh sweetie
Yandoa mengi mengi tupande nayo
Sweetie nitakuheshimu, uniheshimu
Mahaba motomoto yawe ni wimbo
Kwetu yawe waridi yakanukie
Walikuepo, walitamani, nao wakafunga harusi
Wakaparangana haikuwezekana
Kama si nyinyi tusingefika hapa na ku furahi hivi
Na leo ni leo mambo sasa ni mambo
Sweetie sweetie sweetie
Eh sweetie
Nahapa tulipo
Ipo
Sweetie sweetie baby
Eh sweetie
Nahapa tulipo
Ipo
Sasa nyumba moja, mwili mmoja, kila kitu ni moja tuwe pamoja
Upendo naongeza nawe ongeza
Heshima na pandisha, tuwe pamoja
Na tutakumbushana kukaa na Mungu
Familia ya Mungu hujaa upendo
Wema kwa ndugu wote wa pande zote
Tutapendwa na wote hata na Mungu
Traduire en français