![Kishindo Cha Wakoma](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/01/4be9b9423feb4c58a06d457d16db8494_464_464.jpg)
Kishindo Cha Wakoma Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kishindo Cha Wakoma - Best SDA Music
...
Kishindo cha Wakoma
Kiliwakimbiza washami x 2
Chorus
Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu x2
Njaa ilipo wakabili wenye ukoma waliotengwa, wakasema kuliko tufe hapa kwa njaa ni bora twende kambi la Washami x 2
Ni maadui zetu siku zote twendeni tuombe chakula na tena huenda tukauwawa lakini bora twende kambi la Washami x2
Walipokaribia kambi la Washami,
eeeeh
Washami wakasikia kishindo cha magari, kishindo cha magari ya Waisrael na kumbe zilikua nyayo za wakoma zilizojawa uwezo wa Mungu x2