![Best 2022 SDA Music Compilation](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/27/834426979592430eaeb033ee27f58b0a_464_464.jpg)
Best 2022 SDA Music Compilation Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Best 2022 SDA Music Compilation - Best SDA Music
...
Wakati nitajikuta miguuni pa baba
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha
Hallelujah nitasifu kufika mbinguni
Hosanna nitaingia kwa shangweeee
Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema
Bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni*2