![Best Of Ambassadors Of Christ Mix 1](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/19/5438238a58dd4a7881aa5b2bc357e4ab_464_464.jpg)
Best Of Ambassadors Of Christ Mix 1 Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Best Of Ambassadors Of Christ Mix 1 - Best SDA Music
...
Nimekupata yesu nimepata yote nimekupata bwana sitahitaji tena wewe ndiwe hitaji langu tegemeo langu katika hali zote
Jaza moyo wangu upendo nikupende urafiki wa kweli ni fundishe kupenda bwana maana upendo Wako ndio pekee waweza kunifanya kiunbe kipya nikufuate
Ntamani nitembee katika upendo wa bwana upendo ule wa dhati upendo usiobagua upendo uletao hekima busara na amani upendo wa kimbingu pekee uliobora
Wapenzi wa dunia Wengi wadanganyifu niwapo katika Hali nzuri tuko wote lakini katika matatizo wote wanikimbia wewe nimekupata nitakushikilia
Nakukaribisha bwana uyatawale maisha yetu y’a kila siku tufundishe kupanda mbegu za upendo wa dhati meisho wa nyakati tuweze kuvuna matunda y’a ukamilifu kamilisha upendo kwa waliooana dumisha ndo a zako furaha itawale bwana bembeleza unyonge na udhaifu Wao familia iwe mwanga wa mbingu huku