![Neno Litasimama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/01/4be9b9423feb4c58a06d457d16db8494_464_464.jpg)
Neno Litasimama Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Neno litasimama*2
mambo yote yatapita
lakini Neno llitasimama
vitabu vingi sana vimeandikwa
Kwa hekima yake mwanadamu
vikitupotosha waziwazi vile
twaweza kuishi vema duniani
ila yabidi tuelewe kwamba pale
mwanzo kulikuwa neno
naye neno alikuwepo Kwa Mungu
naye neno alikuwa Mungu
Neno litasimama*2
Mambo yote yatapita
lakini Neno litasimama
Warembo wote watapita
Wanaume mali safi watapita
wamamas,Wababas watapita
lakini Neno lake Mungu
litasimama
Meli mpya zitapita
wale wameweza watapita
Raha za dunia zitapita
lakini neno litasimama
Neno litasimama*2
Mambo yote yatapita
lakini Neno litasimama
ugumu wa dunia utapita
mali, ya dunia yatapita
Na utajiri wote utapita
lakini neno lake Mungu
litasimama
vyeo vya kisifa vitapita
Na falme zote zitapita
vilivyothaminiwa, na
vitapita lakini Neno lake
Mungu litasimama
Neno litasimama*2
Mambo yote yatapita
lakini Neno litasimama.