![Best 5 Of Angaza Singers Mix](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/29/c49bbb2be7a04d608ff66290c6df77c9_464_464.jpg)
Best 5 Of Angaza Singers Mix Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Best 5 Of Angaza Singers Mix - Best SDA Music
...
......
Tukikuita unaitika ewe mwokozi na tukibisha mlango wafungua twapata Amani
Na je ni lipi alisoliweza mfalme weeetu
Imani yetu tunaeka kwako utuongoze..x2
Kwanini twahangaikia na ya ulimwengu huu
Yatuletayo uchungu mwingi moyoni na kutuacha na makovu mengi wengine twakata tamaa dhoruba nazo zatuandama tumemsahau muumbaji wetu na kugeukia ulimwengu..x2 (back to chorus)
.......
.......
.......
Usiwe mbali nao bwana wale wakatao tamaa
Wakuliliao uwarehemu wewe ndie mchungaji wao wapitapo kati ya bonde hawataogopa mabaya maana wew upamoj nao gongo lako na fimbo latosha...x2
(Back to chorus)