![Uyee](https://source.boomplaymusic.com/group1/M14/44/05/rBEehl4euC6AXKAmAACt-ldWH8k387.jpg)
Uyee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Uyee - B2K
...
Star big boy
Uyeeeee
Naroh
Nahisi una habari kwamba nami nnazoo
Tulikotoka mbali usiangalie vikwazoo
We Rudi nyumban tuwe kama mwanzoo
Nimepatwa na ubarii wivu wangu chanzoo
" CHORUS"
Aah aaaah sawa nimekubali me tuwe sawaa
aaa aaah nimekubali me we ni kidawaaa
Uyeeeee uyeee aah aaah uyeeee*4
Et mangongogo utamgongea nan haupooo
Yale manjonjojoo utamwambia nan haupooo
We tofautisha hisia zangu na umaarufuu
pendo rudisha njia Yako ndo yenye nguvuu
"CHORUS"
UYEEEEE UYEEE AAH AAAH UYEEE*4
written by @aleboy