
Watu na Viatu
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Watu na Viatu - Lynn Petra
...
Rafiki ang mpendwa naja kwako siku nyingi wanipokea kwa uzuri siku zotee wakat sina wanipa nitakacho husiti nisemacho kwa sawa waniombeea mungu moyoni mwangu najua nina rafiki huyu wa kweli akuna yule ambae atakuja Kati yetu wakati sina wanipa nitakacho husiti nisemacho kwako sawa waniombea mema
Oooh kuna watu na viatu duniani
Oooh kuna watu wasiopenda maendeleo
Oooh ukiwa nacho kinawauma ndani kwa ndani aah achana nao tuwaepukee haraka sana
“” hivi majuzi nilipata kazi nikaja kukueleza mtu wa kwanza nilifikiri ni wew rafiki angu nilifurahi na kuruka nakutaja jina lake mungu Niki kuangalia kwako usoni umejisononesha ukaanza kusonya ukirusha mikono sura umeikunja kumbe ukufurahi mafanikio yangu ilikuwa hati yangu kuja kukueleza *2 mtu wakwanza ni wew rafiki angu
Similar Songs
More from Lynn Petra
Listen to Lynn Petra Watu na Viatu MP3 song. Watu na Viatu song from album Watu na Viatu is released in 2023. The duration of song is 00:03:57. The song is sung by Lynn Petra.
Related Tags: Watu na Viatu, Watu na Viatu song, Watu na Viatu MP3 song, Watu na Viatu MP3, download Watu na Viatu song, Watu na Viatu song, Watu na Viatu Watu na Viatu song, Watu na Viatu song by Lynn Petra, Watu na Viatu song download, download Watu na Viatu MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
siyengo peter
nice ♥️