Zakayo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Zakayo - Christina Shusho
...
lyric sync by Phellow 254790511905
palikuwa na mtu mmoja
jina lake Zakayo
mkubwa kwa watozaushuru
naye ni tajiri
alitafuta kumwona Yesu ni mtu wa namna gani
asiweze kwa sababu ya umati wa watu
maana ni mfupi wa kimo
Zakayo
maana ni mfupi wa kimo
Zakayo
maana ni mfupi wa kimo
Zakayo
*****instruments ******
akatangulia mbio
akapanda juu ya mkuyu
apate kumuona
kwa kuwa atapita njia ile
naye Yesu alipofika
mahali pale
alitazama juu kamwambia
Zakayo shuka upesi
eh shuka shuka shuka shuka upesi
shuka shuka shuka nimekuja kwako
shuka shuka shuka ee Zakayo
shuka shuka shuka
Bwana tazama nusu ya mali yangu
nawapa masikini
na ikiwa nimenyang'anya mtu kitu kwa hila
namrudishia mara nne
Bwana tazama nusu ya mali yangu
nawapa maskini
na ikiwa nimenyang'anya mtu kwa hila
namrudishia mara nne
Zakayo
shuka
shuka upesi
shuka
nimekuja kwako
shuka
eh Zakayo
shuka
*****instruments*******
Bwana tazama nusu ya mali yangu
nawapa maskini
na ikiwa nimenyang'anya mtu kwa hila
namrudishia mara nne
Zakayo
shuka
shuka upesi
shuka
nimekuja kwako
shuka
eh Zakayo
shuka
LEO WOKOVU UMEFIKA NYUMBANI HUMU
KWA SABABU HUYU NAYE NI MWANA WA IBRAHIMU
Lyric sync by Phellow 254790511905