Nije Ama Nisije Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Nije Ama Nisije - Dulla Makabila
...
aaah jamani nijeeee
nauliza nijeeeee
ama nisijeeeee
nitakuja muda ushafikaa ila nakuja kutesekaa nimeshafikisha miezi tisaa ila mama kanitesaa*2
jamani nijeeee ama nisijeeee
jamani nijeeee ooh ama nisijee
aaah naulizaa nijee ama nisijeeee
kwanza nakulaumu mamaaa sababu ujatuliaaa
ndo maana baba ulivyomwambia una mimba yake alikukataliaa
kumbe Shaban na juma nao mimba wanahudumiaa
basi baba kalegea unyonge kaona anabambikiwaa
Dunia nzima mama anatajwi Kwa mazui
maskini Mimi mungu kanipa mama katiliii
mama Sina sababu ya kukupenda nakuchukiaaa
mama ulipojua una mimba ukataka kuniuaaaaa
mama unavaa vitait Hadi mi mwanao unanibanaaa
unajua tumbo likionekana utakosa mabwanaa
kweli umenibeba miezi tisaa lakin sikufagiliiii
hata nikizaliwa nikifanikiwa hata mia sikugaiiii
kiukweli sitakii sitakii Mimi kuja dunianiii
mama Hadi Kwa wachura unapanda Hadii jukwaaniii unalewaa unavuta bangi huku Niko tumbonii nikija kuwa kiongozi wa panya road utamlaumu naniiii
ndo maana naulizaaa nije ama nisijeeee
jamani nijeeee ooh ama nisijeeee
nishaurinii nije ama nisijee
duniani nijee ama nisijee