Gari Langu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Gari Langu - Dulla Makabila
...
(Amanrickets)
wanangu msinikunjie
nisikilizeni na mie
msininunie
huu mwaka wangu mie
Natakamnipishe nitete mimi na gari langu
aa nina ya moyoni nataka kuliambia gari langu
Natakamnipishe nitete mimi na gari langu
aa nina ya moyoni nataka kuliambia gari langu
Kwanza subaru pole kwa safari kabla hujaja mimi niliteseka kweli
wenyewe vigari vya urithi na kejeli
wakanicheka wakaona nimefeli
Ila subaru niambie ukweli hakuna kunificha
Isijekuwa umetegwa kamera ndoa ikavunjika
Nawaza kukupeleka beach bwana kukuogesha kisha nakupiga nyungu na kinga wachawi kuwakomesha
Nakupeleka kwa dic ukafunge mziki
kisha upige picha na mashabiki
waso kupenda minataka wapanic
walipo jazana ndo naenda kukupack
Ilatukubaliane tukiona pic kali tunasimama
yani tukubaliane ukitaka kuazimwa unazima
yani tukubaliane traffic akitusimamisha tunatimua
subaru tukubaliane tukiona x_wangu tunauwa
we twende mwendo wa subaru forester mwanangu mwendo wa Subaru forester
laima mwendo wa subaru forester
Fatuma waziri mwendo wa subaru forester
Amina vikoba mwendo wa subaru forester
malikia wa uber mwendo wa subaru forester