Nasema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nasema - Dulla Makabila
...
nimekaa nalo limenishindaa me nasemaa,wenzangu nawapendaa mnaniponda me nasemaaa x 3
We kuna siri zao nazijua ila kusemaga ndo sipendi
mzee wa bwax alipigwa mtungoo tena watu walikua kikundii
Meja kafumaniwa lozanaaa, mpaka leo meno hana
msaga amekosa dili la maana sababu hajui kusomaa manfogo hali yake mpaka skukuu shoo! hanaaa
Sholo mwamba hatak menejaa usela kazidiisha sanaa
Easyman ananyimbo mbili tayr kanenepeana
Eskide na dan mtoto wamama naskia wanagombania bwanaaa
Bas wanangu me nawasanua,,,
sababu siri zenu nazijua wanangu me nawasanua
nikaaa kimya mnaniona falaa, ooh jaman me nawasanua aah kutwa kucha mnaniongeleaa wanangu me nawasanua ooh. sababu siri zenu nazijua
Yan mengine yanaskitisha na mengine yanachekeshaa
Yuda msaliti alopandaga ndegeee leo shida zina mzeeshaaa
Fido na samioo, ebu achen upendeleooo
shamimu anauongozii mpaka leo anaishii kwao
Tumemsahau kapala ila yee kwetu ndo Baba
Mc sudii na Ponela yameshakua mapaka ya baa!
Bas wanangu me nawasanua,,,
sababu siri zenu nazijua wanangu me nawasanua
nikaaa kimya mnaniona falaa, ooh jaman me nawasanua aah kutwa kucha mnaniongeleaa wanangu me nawasanua ooh. sababu siri zenu nazijua
hiii!!!.,,aaah,
tia x8
, mc shizooo mo funy hatarii apooooooo
we na dullaa
Huo ukwel x6
Mashetan yamepandaa,Dada amevunja kitiii
Yamepandaa Dada amevunjaa kitii
Kweny mziki kamwamshaa ibilisiii x2
Unajiita churaaa,,hii wewe churaa topeeee
unajiita churaaa,,hee dada chura topeee
kama churaa kweli,,basi geto twende wotee
Twendee woteee..ukachezee iokoteee
mama wotee we iokoteee
bas na ingia katii hata sjakutajaa isaaa
ingiaaa teena ata kama sjakutaja dotoo
ingiaa katii kama kama sjakutajaaa
Kama chura kweli kama vipi suguaa Gagaaa
suguaa gagaa ikibidi vunjaa chagaaa
sugua gagaa funua pajaaaa,,
uskae kiboyaaa Mama wee tumiaa eeeh..
ukiona dema anachezaa webambiaa eeh...
oohnamama unamwitaaa unamfataaa..
kama bado hujalewaa waita unamgandaa
unamwitaaa unamfataaa
kama bado hujalewaa waita unamgandaa x2
aah!! katupwa beach bila ya boyaaa
nikiwa mchizoo mo funy apa eeeh!
nikiwa na dullaa makabilaaaa
wazee wa shoo!shooo!
wazeee wa shoo kaliii
we isaa dancer
anakusalimia medy makabilaaaa
hii sauti ya kichaa wakoo bwanaa
hatarii apoooo,,
mamaa eeh..babaa eeeh kwelii
by alex makuya