Furahi Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2024
Lyrics
Furahi - Dulla Makabila
...
oooh ooooh ooooh oooo
mmmh mmmmh mmmh
we furahii!!
Kwanza najua ulinipenda ulimbukeni wa umaarufu!!
Ndo sababu ukaniachaa
Ukimcheki Wolper na Woya upo na tafsiri ya kazi inakuchelewesha
Kumbuka ile siku nlitaka penzi ukanikazia
Kisa laki nane nami sikukukatalia
ukasema nkutumie kwanza ndo mzuka ntakaokugea
yaan tuko ndani ya ndoa ila bado ulinidandia
Nami sishangai njia ndo inavokuwa
Umeniacha mimi mzungu amekuvutia!!
Mpende baba wa watu ana ugonjwa wa kuzimia
Ukileta manjegeka,,utapewa kesi ya kuua
We furahii,,,nimekuacha furahi,,We furahi,,,nimekushindwa furahi tuu
We furahii,,twiga wa chamazi furahi,,,we furahii,,mwenyew umepata mzungu furahi tuu
Ila wasanii wenzangu,,maua yao wapewe!!
Walivosherekea kama sio wao
hongera walizotoa na kwa mzungu vilevilee
Unafki upo ndani ya mifupa yao
Kila siku kuolewa,,kuachika nakuomba utulie
Mimi si ulininyweq P2 basi uyo mzungu umzalie
Na ile tabia ya kupenda kutrend ungebadilika
Yaan mambo ya chumban kwa lokole yashafikaa
Na ile siri yetu mpaka leo mi nimeifichaaa
Na we jitahid mzungu asijue kama hujui kupika
We furahii,,nimekuacha furahii,,
We furahii,,nimekushindwa furahii tuu
We furahii twiga wa chamazi furahi
We furahii,,mwenyew umepata mzungu furahi tuu
Gs music