Jambo La Kheri Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Jambo La Kheri - Dulla Makabila
...
we doni kiwango
........
eyo Kenny
kwanza hongera umechomekea mwanangu umenoga
ila unapoelekea utasahau mpaka kuoga
ukiachilia kuchanga uwe umejipanga
watu wanabadilika utahisi umetengwa
Yani wale usiowategemea ndio watakuchangia
watu wako unaoringia simu watakuzimia