Sema Kweli Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Sema Kweli - Dulla Makabila
...
sema kweli
sema kweli
sema kweli
wanangu mnifungue niondoke
mi nishasema sijui chochote
jamani mnifungue niondoke
kama mnataka pesa semeni niwape
naomba mnifungue niondoke
mi nishasema sijui chochote
wanangu mnifungue niondoke
kama mnataka pesa semeni niwape
yani kusema kweli mi Malaya
kusema kweli sipendi mademu wabaya
kusema kweli mi sipendi kuoga
Na sipandi jukwaani bila kuloga
kusema kweli mi napenda kuongwa
na siwezi kulala bila ya kugonga
aaaaaah aaahh
wanangu mnifungue niondoke
mi nishasema sijui chochote
jaman mnifungue niondoke
kama mnataka pesa semeni niwape
naomba mnifungue niondoke
mi nishasema sijui chochote
wanangu mnifungue niondoke Kama mnataka pesa semeni niwape
saaaawaaahh sawa
nitasema yote Ila kwanza weka silaha Chibu
yan kusema kweli Majiso na Chibu
hawapendani
mi nasema kweli msije kuniua
Ebu kwanza nilegeze kamba
kusema kweli Kiba kuimba anajua
na Uchebe bado mshamba
kusema kweli Baba kwa uchawa anastahili taji