![Ni Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/07/8940c8afc7464b9492a78f84ef54db4a_464_464.jpg)
Ni Wewe Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Oh oh oh oh oh
Yeah yeah yeah
Aa aa
P-Mani
Oh oh oh oh
Msupa umbo lako la nipigisha (breki, breki)
Checking jegi na legi kweli we ni (caki, caki)
Vile una slay mi siwezi (sleki, sleki)
Nadai uwe wa meyie tuingie, ma-dating, dating
Skia nikwambia uwe mtu wa miye ehe
Skia nikwambia we ndio mtu wa miye ehe
Ni wewe, ni wewe (wewe, wewe)
Ndio mi na wania (wania)
Oh me, oh my
Babie, truly, uko fine
Why liee, shape nice
Cola bottle, sura fisa
Iyo smile, shanikunywa
Mamacita, mans shafika
Paparazi, piga picha
My super lover, mi only galis
Siwezi kupanga
Vile una ni murder kwa hii saga
Right to left, as you move it slowly
What more can I say
Msupa umbo lako la nipigisha (breki, breki)
Checking jegi na legi kweli we ni (caki, caki)
Vile una slay mi siwezi (sleki, sleki)
Nadai uwe wa meyie tuingie, ma-dating, dating
Skia nikwambia uwe mtu wa miye ehe
Skia nikwambia we ndio mtu wa miye ehe
Ni wewe ni wewe (wewe, wewe)
Ndio mi na wania (wania)
Wacha zi come, wacha zi go
Mizigo wana shake wakidai ma beer na ma steak
Wacha zi come tuki stack waki watch wana choke
Wacha wa talk wakichoka wata walk
Fi mi gals dem Tapi come up wid a new stylee
Vile ina stahili
While dem man dere pree man P-Mani Tapi take it to the top
Na tutawai stop, ata wakipiga block
Tutazidi kuwapa more, kazi kujaza floor
Kuwavuta nika tuna spack
Wacha zi come
Wacha zi go lazima tuta stack
Msupa umbo lako la nipigisha (breki, breki)
Checking jegi na legi kweli we ni (caki, caki)
Vile una slay mi siwezi (sleki, sleki)
Nadai uwe wa meyie tuingie, ma-dating, dating
Skia nikwambia uwe mtu wa miye ehe
Skia nikwambia we ndio mtu wa miye ehe
Ni wewe ni wewe (wewe, wewe, wewe)
Ndio mi na wania (wania)
Ni wewe ndio mi na wania aa
Mi na wania aa