![Ondoka](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/5B/C3/rBEeM1oo2AaAT4kiAACsXVEu5hY739.jpg)
Ondoka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Ondoka - Guardian Angel
...
African number one
gman agwan
Jacky b on the beat
mamayomayomayomayomayee
gman a gwanso
ondoka nenda
sikutaki tena kwangu
we toka nenda x2
ondoka..nenda
sikutaki..tena
we toka..nenda
ondoka nenda x2
ulinianzia nikiwa mchanga
kikasirika nafanya visanga
wanipeleka sana kwa matanga
heey
right now..
(I wishx2)
singekiruhusu kwangu wee
hasira hasara
oouo
umezuia
(my wishx2)
ya kufika nitakapo
hasira hasara
yee
ulimzuia musa..musa
kuicheki promised land
we hasira hasara
oooh
ondoka...nenda
sikutaki...tena
we toka...nenda
ondoka nenda
ondoka nenda
sikutaki tena kwangu
wee toka nenda x2
ondoka..nenda
sikutaki.. tena
we toka...nenda
ondoka nenda x2
umewasababisha wengi
kuzivunja ndoa zao
umewasababisha wengi kupoteza maisha yao
umewasababisha wengi kupoteza kazi zao
hasira hasara
eeh x2
ondoka...nenda
sikutaki.. tena
we toka..nenda
ondoka nenda
ondoka nenda
sikutaki tena kwangu
we toka nendax2
ondoka..nenda
sikutaki..tena
we toka..nenda
ondoka nenda x2