![Barua](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/12/e57abcf409114de68dbbcb81646c47d6_464_464.jpeg)
Barua Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Barua - B2K Mnyama
...
Nakupa barua hii usome
Lengo langu ujue uone
Kama nnahaki yakuondoka husilalamike we
Tafuta mbadala upashone nilipopachana upone
Ipo siku nitakutafuta namba husibadilishe
Tena naandika kwa udhuni machozi yanitiririka aah
Sijapenda ila hali duni ndo inatutenganisha
Pesa roho yake sabuni umeshindwa kunitakatisha
Wenzangu daily wapo salon mi nikionba tu wigi vita
Nimechoka kila siku michicha milenda
Na unajua kwamba mi pisi ya kwenda
Ahadi January kutimiza December oooh
Najua inauma sababu mapenzi danger
Sitaki talaka nenda mwambie mshenga
Ata ukimpata utaempenda husinisahau
Asa mbaya ni hii mi napata jimama nikadange ni mtunze
Nae ana plan b kashapata jibaba lengo lake aniunguzee
Eti kawa VIP mimi sio saizi yake aya mapenzi nifunze
Kaongwa na Ist kaahidiwa mwakani atapewa za bunge
Poleee pooleee
Mmmh poleee
Poleeeeeeee
..........
Siku ya valentine day nitakutumia barua nyingine ya zawadi
Na siku ya birthday nitakutumia na keki ukate ilimladi
Ngoja kwanza nichune chune
Nikizipata tuje tuzitafune
Kaza moyo we mtoto wa kiume
Kama ukinimiss nipigie (nipigiee)
Nina namba mpya nimesajili kwa ajili yako
Ila hii husitumie (husitumie)
Ninachohofia ni kuumiza moyo wako
Najua inauma sababu mapenzi danger
Sitaki talaka nenda mwambie mshenga
Ata ukimpata utaempenda husinisahau
Asa mbaya ni hii mi napata jimama nikadange ni mtunze
Nae ana plan b kashapata jibaba lengo lake aniunguzee
Eti kawa VIP mimi sio saizi yake aya mapenzi nifunze
Kaongwa na Ist kaahidiwa mwakani atapewa za bunge
Poleee pooleee
Mmmh poleee
Poleeeeeeee