
Can't See Me Now Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeah Yeah Tapi
Aa aa aa aa aa
Bado niko jikoni na mali nishaivisha
Through speaker my sifa ua nime see far
Nipishe niwapishe walio come this far
Ku raise bar, maarifa napika
Kwa taarifa na jenga taifa
Ka khalifa, na tema tamaduni kuepuka hali duni
Wanao sema ina sound looney, can't do nothing to me
Hata waki boo me, can't put me down kama uni skumi
Maudhui yanaweza lipa deni zote hata za maadui
Wakileta vibes za ma diva mi na serve mine deeper
Uchoraji unakutoa kwa ukisortaji bila uporaji
Wakiuliza napangaje, kua land owner far from mpangaji
John Cena, they can't see me now
Kama sina huwezi see me nao
Na nisipo blow up vile natumia mic ka bazuka
Kuwasuka, nipate uwanjani kwa soccer
Nikiwasakata wanao pata mazao yao
Waki waskumia za kupakatwa
Waki kutumia wajali kautaumia
Saa hii mia itanijenga aje, hauwezi ni simamia
Mi si wakufutwa, vile miufiatua kwa hii sink or swim
Mi uscuba nikijiskuma ku tame sharks
Tuki face facts, siko semu nao hao basic clarks
My safaris different class, raise iyo glass
Hii sehemu ni ya milli plus
Your BBW BM yuko kwa yangu DM
Lights, camera, action, niko film mode
Niki flip mode ku split stars
Yeah, na Busta rhymes, grave digger kwa hii dinga
Ra kim bila cosign ok son si kai sana
Khoisan niki sparse in kalahari
Kupata mali ndio ni marry
Sons blessed na hii God's gift ku heal rifts
Though no where near my best
Bado niko above the rest
After OMC 3
John Cena, they can't see me now
Kama sina uwezi see me nao
John Cena, they can't see me now
Kama sina uwezi see me nao
See ma' thru pen game napata heshima yao
Hakuna ku rest kwa hii game vile Ares ana set test
Na hizi beats turned me to a beast
Yaani mi ndio monster kwa hii roaster
Ile rooster haijawai loose just few screws loose
With confidence ya ku take on any crew
Blame it on how I grew up
Na puke this hard na niko warm up
Niki close hii skill gap they can't hold a candle to me
Kando na me, sioni how they can be goats wakichew cud
Kwa hii ugombeaji leta za ng'ombe part choke hold
Ma time nafeel ku rebuke fans juu ya things they call hard
Choka sana na hizo nursery rhymes nyi uandika
Kwa hii kilimo sitoki bila bob na mali mob kama Collymore
Irony ni ati niko na writers block, after ku drop project
John Cena, they can't see me now
Kama sina uwezi see me nao
John Cena, they can't see me now
Kama sina uwezi see me nao