![Zamani (Acoustic)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/13/fe94de2a432e4281b0a14dacaf1e8e99_464_464.jpeg)
Zamani (Acoustic) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Zamani (Acoustic) - B2K Mnyama
...
Toka kuwekana profile leo hatuelewani my mamy
Hivi kwani kuna kosa au unafanya kama utani my mamy
Ukiwaga na mizuka vuruga mamito tu kitandani ntaikuta chini
Kile kipindi cha banzuka we haujawahi kukosa mamy na sauti laini
Sindo kitu unamiss mamito vurugu hauna tena
Utokako kwenye bed unansnich mbio zako
Ndo mana namiss sana tunda lako
Unamafunzo my mamy tokea zamani huko
Penzi halina hutani
Tizama kuanzia chumbani nimejaza picha zako we hauonekani
Unajibu lipi leo
Mwenzangu hautamani
Turudi kama zamani
Mixer michezo ya utotoni tulivyocheza zamani
Ah au hautamani furaha irejee nyumbani
Tuchekeshane chumbani mi nawe wangu my mamy
Vibaya hvyo ulisahau siku hazifanani (aah leo)
Au ulidhani sikukupenda mi nilikutamani(aah leo)
Vibaya hvyo ulisahau siku hazifanani (aah leo)
Au ulidhani sikukupenda mi nilikutamani(aah leo)
Najua ulitamani kuangalia ile flat kwa jirani
Ikakutoka imani kuangalia kale ka chogo ka nyumbani
Nikisema nijifunze kukata tamaa
Nakumbuka ya nyuma tuliofanya
Eti sijafahamika unanitukana
Bora niache mziki nkapange nyanya
Sitaki kumbuka figisu na uliofanya
Maisha yalifanya tukaachana
Mgawaji uwezo ni maulana
Hivi kwann mapema tulikata tamaa