![Mr. DJ](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/24/ddcf7df838c5411b81d9913a3b191ed0_464_464.jpg)
Mr. DJ Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mr. DJ - Maua Sama
...
Samaaaaa!
Ulivyoniacha ulijua nitakufa
Ulivyoniacha ulijua nitaded
Ona mungu kanipigania mi nanenepa
Ona baba yeye kanipigania
Sasa sasa hasira zanini (hasira zanini)
Makasiriko ya nini
We si uliniacha jamani
Una wako nyumbani
Mr Dj weka wimbo
Nataka ex anione nimenunua iphone
Mr Dj weka wimbo
Nataka nimkere ex mpaka atoke humo ndani
Ebu toka hapa mwenzio nishajipata
Nishajipata mwenzio nishajipata
Mapenzi kudadadek
Mtu unampa moyo vyote kapiga deki
Toka hapa baba hunipati
Japo ata mia sina ila haunishiki
Sasa sasa hasira zanini (hasira zanini)
Makasiriko ya nini
We si uliniacha jamani
Una wako nyumbani
Mr Dj weka wimbo
Nataka ex anione nimenunua iphone
Mr Dj weka wimbo
Nataka nimkere ex mpaka atoke humo ndani