Siwezi Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2020
Lyrics
Moyoni maumivu
Upweke wanifanya nikose amani ya moyo
Ukiondoka nao
Nakosa majibu
Kipi nifanye nipendwe kama zamani
Ama
Nikuteke nyayo
Eeeh
Kutwa najitutumua
Unachotaka mbona nakupatia
Naomba nieleze kilichopungua
Wapi niongeze
Eeeh
Kuna maneno nasikia
Kuna wenzangu wapo kama mia
Kumbe nikitoka wao wanaingia
Naomba wapunguze
Aaaah aaaah
Najua una enjoy
Me ndio naumia
Najua una enjoy
Me ndio naumia
Najua una enjoy
Me ndio naumia
Aaah aaaah eeeh
Najua una enjoy
Me ndio naumia
Najua una enjoy
Me ndio naumia
Najua una enjoy
Me ndio naumia
Mmh
Ila mwenzako siwezi
Kuishi bila we
Kuishi bila we
Kuishi bila we
Eeeh
Na usiku sipati usingizi
Nakuwaza we
Nakuwaza we ( nakufikiria we )
Nakuwaza we
Yeeeeh
Mmmh yeeeh
It's gonna be hit yeah
Mmh yeeah
Moyo wangu una nyama na sio chuma
Nitavumilia mengine yanauma
Kuna muda nakuita unauchuna
Nifanyeje utulie we
Kila nachofanya bado
Sema wataka niweje kwako
Mbona haukusema tokea mwanzo
Kama sifai
Lan'tesa penzi lako
Mama nihurumie mwenzako
Ama nifanye kijakazi wako
Ili ufurahi
Mmmh
Kuna maneno nasikia
Kuna wenzangu wapo kama mia
Kumbe nikitoka wao wanaingia
Naomba wapunguze weee
Maana mwenzako siwezi
Kuishi bila we
Kuishi bila we
Kuishi bila we
Na usiku sipati usingizi
Nakuwaza we
Nakuwaza we ( nakufikiria we )
Nakuwaza we