Kukupenda Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Alivyo mrembo kwa sana
Ndio kinafanya
Sijui nini nifanye
Akili ameitawanya
Tukiwa mtoko me nashindwa cha kufanya
Sijui nini nifanyeje
Me nakosa cha kufanya
Yeah
Katoto kana shine mpaka kwa giza
Nimesha verify kanimaliza
She's my weakness
My weakness
Baby girl
I want your love
want your love
Want your love
Your love
Want your love
Baby girl
I want your love
want your love
Want your love
Your love
I want your love
Sina maneno mengi zaidi ya kukupenda
Kukupenda
Me nataka niwe na wewe
Niwe na wewe
Sina maneno mengi zaidi ya kukupenda
Kukupenda
Me nataka niwe na wewe
Niwe na wewe
Kuna muda
Kuna muda najipanga
Maneno nayapanga
Nikifika unanichomolea
Vibunda nishavichanga changa
Zawadi nikapanga
Mwisho wa siku unaniongopea
Sema nifanye nini ili nikupate
Nishamaliza njia zote
Nifanye nini tuwe wote
Nimemaliza nimemaliza
Katoto kana shine mpaka kwa giza
Nimesha verify kanimaliza
She's my weakness
My weakness
Baby girl
I want your love
want your love
Want your love
Your love
Want your love
Baby girl
I want your love
want your love
Want your love
Your love
I want your love
Sina maneno mengi zaidi ya kukupenda
Kukupenda
Me nataka niwe na wewe
Niwe na wewe
Sina maneno mengi zaidi ya kukupenda
Kukupenda
Me nataka niwe na wewe
Niwe na wewe