Leo Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
First time first time
Kuonana nawe mrembo
Nimejikuta nime fall in love
Sio kitoto
Usi take time take time
Kunipa majibu mrembo
Sitaki nikuache uondoke
Noooo
Subiri kidogo
Na macho yako yanaita
Mrembo sinyorita
Naomba usiseme no
Siwezi kumaliza sifa
Mtoto umeumbika
African baby girl
Unapendeza ukicheka
Kama malaika
Nilishe tunda apple
Kifuani saa sita
Me nimezimika
Yeah
Mbona unapenda kona kona baby
Mbona unanipa kona kona baby
Mwenzako nataka leo leo
Nipe jibu langu leo leo
Mbona unapenda kona kona baby
Mbona unanipa kona kona baby
Mwenzako nataka leo leo
Nipe jibu langu leo leo
Uvae gucci Uvae fendi
Nikupe ndinga usiende stand
Sinaga mambo mengi
Maisha ya ku fake siyapendi
Najua pesa sio mapenzi baby
Watakufuata na ma benz wengi
Njoo nikupe penzi utulie
Utulie
Yeah yeah
Na macho yako yanaita
Mrembo sinyorita
Naomba usiseme no
Siwezi kumaliza sifa
Mtoto umeumbika
African baby girl
Unapendeza ukicheka
Kama malaika
Nilishe tunda apple
Kifuani saa sita
Me nimezimika
Yeah
Mbona unapenda kona kona baby
Mbona unanipa kona kona baby
Mwenzako nataka leo leo
Nipe jibu langu leo leo
Mbona unapenda kona kona baby
Mbona unanipa kona kona baby
Mwenzako nataka leo leo
Nipe jibu langu leo leo