Loading...

Download
  • Genre:Acoustic
  • Year of Release:2020

Lyrics

Pienso en ti siempre


Usiku siwezi kulala

Mpaka tuwe wote

Chakula hakipiti

Naomba unilishe


Ruksa wanione fala

Si tuwe wote

Nitaishi vipi

Usinitoroke


Watakuja wenye magari

Ukiwaona Kimbia

Mashoga zako ni hatari

Unawang'ang'ania


Nishaumizwa moyo wangu

Nilipotokea

Hivyo naomba chunga sana

Usije kimbia nao


Wangu moyo


Pienso en ti siempre


Te amo

Tequiero tequiero

Tequiero mucho tequiero


Te amo

Te amo teamo

Teamo teamo yooh


Te amo

Yooo tequiero tequiero

Tequiero mucho tequiero


Te amo

Te amo teamo

Teamo teamo yooh


Aaah


Ulivyo mzuri

Sokoni nitaenda mie

Sitaki miruzi wakupigie

Watanifanya me nijifie

Mapema


Na


Hauna kiburi

Acha mama anisifie

We ndio chaguo la mie

Nifinyange tu nitulie

Mapema


Ni mapenzi yako

Yanafanya nikuonapo

Me navavanya

Aki ya MUNGU

Navavanya


Nashindwa ata kuhema


Huo uzuri wako

Unafanya nikuonapo

Me navavanya

Aki ya MUNGU

Navavanya


Nakosa la kusema


Watakuja wenye magari

Ukiwaona kimbia

Mashoga zako ni hatari

Unawang'ang'ania


Nishaumizwa moyo wangu

Nilipotokea

Hivyo naomba chunga sana

Usije kimbia nao


Wangu moyo


Te amo

Tequiero tequiero

Tequiero mucho tequiero


Te amo

Te amo teamo

Teamo teamo yooh


Te amo

Yooo tequiero tequiero

Tequiero mucho tequiero


Te amo

Te amo teamo

Teamo teamo yooh

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status