Overdose Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
I gotta do this one
You know
Nimejikuta nime fall
Sina ujanja
Nimejikuta nime fall
Kidume nimekosa ujanja
Kwa speaker
Ni buruda ya mr jaivah
Katoto nakapika mpaka kanaiva
Nyama nyingi nyingi
Kitu roast my guy
Roast my guy
Na lost my guy
Kuna kitu nataka niseme
Anayofanya mtoto niseme
Sijawahi kupenda hivi niseme
Mwili shoti
Akigusa ni umeme
Aaaaaaaaaaaah
I like what I see
Alichonacho ni special for me
Special for me
Special for me
Aaaaaaaaaaaah
I like what I see
Alichonacho ni special for me
Special for me
Special for me
Nime overdose
Overdose
Penzi lake tamu nime overdose
Maneno ya chini
Yataumiza roho
Penzi kisima nimeingiza ndoo
Hana pigo za
No money no honey
My ride or die
Mpaka mwisho yupo nami
Tangu nimpate najiona niko na amani
Sasa nitake nini
Nimempata wa hubani
Katoto bana
Katundu sana
Kakinitazama
Najiona Copacabana
Nakuwa santana
Na nyuzi navuta sana
Iiiyeiiih
Kuna kitu nataka niseme
Anayofanya mtoto niseme
Sijawahi kupenda hivi niseme
Mwili shoti
Akigusa ni umeme
Aaaaaaaaaaaah
I like what I see
Alichonacho ni special for me
Special for me
Special for me
Aaaaaaaaaaaah
I like what I see
Alichonacho ni special for me
Special for me
Special for me