Mawazo (Single) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Nishafanya mangapi
Nimeteleza wapi
Najaribu kujishusha
Mpenzi haunitaki
Yale mazuri yangu ya zamani
Yote umeyasahau
Nifanye nini unipende jamani
Upendo umepanda dau
Nishatoa machozi
Sura kutwa majonzi
Ulipokuja kipenzi
Nilihisi yamekwisha kumbe
Kichwani una mengi
Nawaza mapenzi
Nawe haunipendi
Me siko sawa
Mapenzi ujenzi
Wawili wajenzi
Wengine wanini
Waleta chawa
Na
Unanipa mawazo
Nalewa mpaka naangusha
Nieleze ata chanzo
Maumivu hayawezi kwisha
Unanipa mawazo
Nalewa mpaka naangusha
Nieleze ata chanzo
Maumivu hayawezi kwisha
Iyeeh
Aaah aah aah aaah
Aaah aah aah aaah
Aaah aah aah aaah
Aaah aah
Iyee eeh
Aaah aah aah aaah
Aaah aah aah aaah
Aaah aah aah aaah
Aaah aah
Walinambia mengi
Ya kwako nilipuuzia
Leo nakusamehe
Na kesho unarudia
Na ata ukirudia
Nitakusamehe pia
Nishajifia
Nakosa pa kutokea
Na tena walinambia
Kosea vyote na sio mapenzi
Maumivu yake hayapoi kwa ganzi
Sikujua najitia kitanzi
Aah Na
Unanipa mawazo
Nalewa mpaka naangusha
Nieleze ata chanzo
Maumivu hayawezi kwisha
Unanipa mawazo
Nalewa mpaka naangusha
Nieleze ata chanzo
Maumivu hayawezi kwisha
Iyeeh
Aaah aah aah aaah
Aaah aah aah aaah
Aaah aah aah aaah
Aaah aah
Iyee eeh
Aaah aah aah aaah
Aaah aah aah aaah
Aaah aah aah aaah
Aaah aah