- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Ex! - Madini Classic
...
kwanzaa wacha nikushukuru umefanya nikajua mapenzi owowooh!
kwa mateso yako, kwa vituko vyako, nikajifunza kujienzi, mamaa ila Hali yangu sio mbaya natumai we ulipo uko salama na ulisha penda Tena Mimi bado napambana, napambana na hali yangu na Sina sababu ni vile naiona dunia tamu, natamani hata siku moja mimi nikupigie ila moyo unakataa natamani siku moja wewe unipigie siwezi pokea
namiss zile vituko vyako kununa hata kwa makosa yako ..natamani hata sikumoja nikupigie ila moyo unakataa, natamani hata sikumoja unipigie siwezi pokea
Nikwachee wacha nikuachee
nikwachee wacha nikuachee
hivi huyo mume wako anakudekeza nilivyo kua kwako na ukinununa anakubembeleza ama anakuvuruga eeh , wanasema hata ngombe maskini huzaa sikuizi nimeongeza ujanja mitaa na leo wapi anavuta wiidaa mmmh ,ujuzi kitandani nimeongeza Sana hell nikepiga Sina shida Tena na lleo api anavuta widaa
namiss zile vituko vyako kununa hata kwa makosa yako nakukumbuka sana
natamani hata siku moja mimi nikupigie ila moyo unakataa natamani hata siku moja wewe unipigie siwezi pokea
see lyrics >>
Similar Songs
More from Madini Classic
Listen to Madini Classic Ex! MP3 song. Ex! song from album Ex! is released in 2020. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Madini Classic.
Related Tags: Ex!, Ex! song, Ex! MP3 song, Ex! MP3, download Ex! song, Ex! song, Ex! Ex! song, Ex! song by Madini Classic, Ex! song download, download Ex! MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
Small Hunter
zippy hcyg5
so swt
nasite_ea
favorite sana
131134569
cool
mwasit hassanmwasit6@gma
❤️❤️❤️
sharonde036
sooo hot
bonlaviz_ke
so hot
Bobbysto
Ifikie ma Ex wote
prudence wairimu345
sweet
crazylight
[0x1f641]
My favorite