True Love Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Yeah
I gotta do this one you know
Sawa sikuwa na pesa
Ila nilikupa love
Uliniumiza sababu ya true love
And you know
Ukipenda lazima uumizwe roho
Kitu kidogo kwangu kili matter
Usiku wa manane ni wapi umetoka
And you know
Ukipenda lazima uumizwe roho
Nieleze wapi ulipo nikufuate
Masaa yanakwenda
Nasubiri nashindwa elewa
Maana nishajaribu
Kila njia naona tabu
Kukupa moyo isiwe tabu
Unatesa moyo wangu
Oooh oooh
Nakosa majibu
Ya ukiwa mbali na karibu
Kitu mapenzi nakiona adhabu
Yanatesa moyo wangu
Ooh oooh uooh ooh
Maana nishajaribu
Kila njia naona tabu
Kukupa moyo isiwe tabu