Hekima (Single) Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Kuna wakati unafika
Unakata tamaa like
Sitoweza kufanya hii lakini
Ukiamini katika mungu
Unaweza ukafanikiwa
Nishapitia njia zenye miba yeeh Yeeh
Na mungu ulifungua walipoziba yeeh
Rafiki wangu wa kweli
Kwenye raha na shida
Haujanitupa baba
Iwe kwenye njaa ama kushiba
Na hautaki kuniona peke yangu
Kinyonge nimesimama
Binadamu wana majungu mengi
Baba me napigana
Na ata nilichonacho ni cha kwangu
Bado wananiandama
Ndio maana nimekuja kwako
Mungu baba
Uniambie ya hekima
Walinipiga la kulia
Nikawageuzia la kushoto wamemaliza
Na hapo hawakuishia
Mpaka nguo nazo wamenimaliza
Na usione naimba kwa hisia
Jua moyoni nina mengi
Tu yananitatiza
Oooh nalia
Binadamu
nilimuamini rafiki ametoka na bibi yangu
Nawe ulinifunza upendo kwa maadui zangu
Nieleze nimpende vipi
Anayevuruga ndoa yangu
Ama yule mchawi
Anayeroga kazi yangu
Ila baba najaribu yeeh
Me mwanao ni msikivu
Ooh uuuh oooh
Usijali najaribu
Ooh baba oouaah