Kataa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Sean on the beat
DAVID WONDER
Walisema sitaaja kutoboa
UKAKATAA
Eti ntaitika wakikohoa
UKAKATAA
Eti sijaaja ishi poa
UKAKATAA
Mungu wangu ulikataa eeh
Don't let nobody stress you
Don't let nobody stress you
Don't let nobody stress you
Wanaskia fiti ukilia
Eeh Don't let nobody stress you
Vipi usikimbizane na pressure
Usije mwacha Mungu juu unatafuta pesa
Wataskia fiti ukiumia
Si watu hapa nje wamejawa machocha
Ukiishi maisha simple watasema umesota
Ukionyesha unazo watasema ni sponsor
We mtegemee Mungu hautawahi kosa
Kitu nimeona
Huwezi ukafunga
Mwanadamu mdomo
Nishawasoma
Uwe mzuri ama mbaya
Watakusema bado
Walisema sitaaja kutoboa
UKAKATAA
Eti ntaitika wakikohoa
UKAKATAA
Eti sitaaja ishi poa
UKAKATAA
Mungu wangu ulikataa eeh
Mungu ulikataa
Taaa
Taaa
Taaa aaah aah aah
Ulikataa
Taaa
Taaa
Taaa aaah aah aah
Maneno yao opinion nobody has facts
Who God has blessed nobody can curse
Who God has blessed nobody can curse
Unaenda kuwa big deal iyo nikona feeling
Baraka zako zitapasau ceiling
We are winning kwa Mungu we are winning
We are winning kwa Mungu we are winning
Kitu nimeona
Huwezi ukafunga
Mwanadamu mdomo
Nishawasoma
Uwe mzuri ama mbaya
Watakusema bado
Walisema sitaaja kutoboa
UKAKATAA
Eti ntaitika wakikohoa
UKAKATAA
Eti sitaaja ishi poa
UKAKATAA
Mungu wangu ulikataa eeh
Mungu ulikataa
Taaa
Taaa
Taaa aaah aah aah
Ulikataa
Taaa
Taaa
Taaa aaah aah aah