Rhumba Ya Nzambe ft. Alpha Mwana Mtule Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Hapo mwanzo kulikuako neno
Naye neno alikuako kwa Mungu
Yeye neno alikua ni Mungu uuuh
Mungu baba (Nzambe)
Vyote vilifanyika kwa huyo wala
Pasipo Yeh
Hakungefanyika chochote
Kilicho fanyika aaah
Atukuzwe sana mungu baba
Milele daima
Yeh shetani, ye hujakuiba
Kuchinja na kuharibu
Hana lolote ye
Mawenge tuu
Mungu ngashamfukuzanga mbinguni
Kisa kiburi yake
Tusifuatane na yeye tumfuate Nzambe
Hii sio ndombolo
Hii ni Rhumba ya gospel ooh
Ikikuingia kwa moyo
Basi cheza kwa maringo
Hii sio ndomboloo ya solo
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Rhumba Ya Nzambe
Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Rhumba Ya Nzambe
Rhumba Ya Nzambe
Mmh mi sipendi maneno
Mi sio mtu ya maneno
Nina neno la Mungu kwa moyo
Narithika nalo
Ya nini malumbano
Sitaki malumbano
Mungu amenifunza amani
Come share with me
Hizo story za umbea Sitaki
Mtoto wa mungu na penda Amani eeeh
Ye shetani ye huja kuiba
Kuchinja na kuharibu
Hana lolote ye mawenge tu
Mungu ngashamfukuzanga mbinguni
Kisa kiburi yake tusifuatane na yeye
Tumfuate Nzambe
Hii sio ndombolo
Hii ni Rhumba Ya gospel ooh
Ikikuingia kwa moyo
Haya cheza kwa maringo
Hii sio ndomboloo ooooh
(Producer alexis, aah unafanyanga nini unacheza volume mzuri inamuingia Mwanadamu mpaka ndani ya mwili
Kama kwa mfano, ulicheza guitar ngafurahi, nganiingia mimi na ndugu yangu David Wonder ah ah ah)
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Rhumba Ya Nzambe
Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Tucheze Rhumba Ya Nzambe
Rhumba Ya Nzambe
Rhumba Ya Nzambe