Kumbuka Ghetto Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Kumbuka Ghetto - David Wonder
...
David wonder wonder..... ukitembelea Watu kumbuka ghetto ,oooooooooh ukitembelea watu kumbuka ghetto ooooooooh,ukitembelea watu kumbuka ghetto ooooooooh ukitembelea watu kumbuka ghetto ooooooooh. Najua hujatusahau, sahau ila neno Mona angalau angalau hizi biashara zetu zisonge tuache mihadarati tukasome Mambo ya konakona na ikome njia zake muovu na tuchome nSasa baba naomba we tembea maovu ya mtaa wewe kemea kwa wagonjwa uponyaji wekelea tembea Sasa baba naomba we tembea maovu ya mtaa wewe kemea kwa wagonjwa uponyaji wekelea naomba baba............................ CHORUS. Ukizuru watu wako my daddy usisahau kariobangi mababandogo seriously eastlando kwa maodi na pia Koch kwa mahustler D kwa mabachelor ooooooooh watu wangu was mathare namba nane ooooooooh Sasa baba naomba we tembea maovu ya mtaa wewe kemea kwa wagonjwa uponyaji wekelea tembea Sasa baba naomba we tembea maovu za mtaa wewe kemea kwa wagonjwa uponyanji wekelea naomba baba....................... CHORUS. Na pia Koch kwa mahustler D kwa mbachelor ooooooooh watu wangu wa mathare namba nane oooooooooh. CHORUS