Mtindo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Mtindo - David Wonder
...
E e emp records.. Shetani anainama anainuka anaona moto mwenyewe anatoroka anainama anainuka anaona moto mwenyewe anatoroka.. huyu Yesu amekua daddy amekua nami ni mchungaji wa mi eh.. hata kuende aje siwezi worry ni mchungaji wa mi.. mbona mnangangana nganaa na mambo ya jana jana tumwachie bwana bwana ila mi nataka mjue kuokoka ndo mtindo uoooh kuokoka ndo mtindo uwoooh kuokoka ndo mtindo uwooh nakubali na mastingo uwoooh kuokoka ndo mtindo uwoooh kuokoka ndo mtindo uwoooh kuokoka ndo mtindo uwoooh tunakubali na mastingo uwoooh