Yote Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Yote - David Wonder
...
wooo oooh oh oh wooo oooh oh oh eiii iih eeh eeeeeeh eeh mmh Kwa life kuna kupanda na kushuka Kuna kuteleza na kuanguka Kama hujakufa utalala na utaamka Roho iliamini yalonikuta nilistuka I have to let you know for few days nimefeel so low usiponiona online please call my phone Hata kama we don't get along Bado nimeokoka na mapepo nishakemea Ni vile bado nahitaji tu kuongea Walo karibu wanasema ushaniombea But alI I need is just somebody wa kuongea Niyatoe yote yoote (yote)yalo moyoni yote yoote eeh (yote) Niyatoe yote yoote (yote)yalo moyoni yote yoote eeh (yote) Kwani ni nini kwani ni nini kwani ni nini inanikula pole pole kwa ndani Nimejaribu daktari hadi nimeshafanya maombi kwani ni nini ooh inafanya ninakosa amani Na nikienda today(today today) Mi nasema pole (pole pole) Kwa wale nilo'kosea(nilo'kosea) ufalme unaningojea Bado nimeokoka na mapepo nishakemea Ni vile bado nahitaji tu kuongea Walo karibu wanasema ushaniombea But all I need is just somebody wa kuongea Niyatoe yote yoote (eeeeeeeeh) Yalo' moyoni yote yoote (yote yoote) Niyatoe yote yoote(yoooote) Yalo'moyoni yote yoote Niyatoe yote yoote Yalo moyoni yote yoote Niyatoe yote yoote Yalo moyoni yote yoote