Ndogo Ndogo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Ndogo Ndogo - David Wonder & Bahati
...
(EMBE RECORDS)
David Wonder, na Bahati Bahati tena
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie baba
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nikununie baba
hizi vitu ndogo ndogo, ndogo
hizi vitu ndogo ndogo, ndogo
hizi vitu ndogo ndogo, ndogo
hizi vitu ndogo ndogo, ndogo
sukari ikipanda na Unga izo vitu ndogo
umekonda na ule ameunga hizo vitu ndogo
unashinda unalia kusota hizo vitu ndogo
kaburini alishinda hata kifo hizo vitu ndogo
eh vipi de, unajua bila Yesu ni tricky de
ahe mimi Bahati de, nakuambia shida zako ni ndogo de
anakucheki de, everyday ukicomplain to your holiday
hizo vitu ndogo de mbele yake dogodogo kama odede ahe
na, unashinda ukilia kusota hizo vitu ndogo
Kaburini alishinda hata kifo hizo vitu ndogo
(CHORUS)
hiz vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie baba
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nikununie baba
hizi vitu ndogo (ndogo)
hizi vitu ndogo (ndogo)
hizi vitu ndogo (ndogo)
hizi vitu ndogo (ndogo)
mi ni winner, hata kama pesa sina, Lamborghini na bima, najua zote atanipa
madeni alilipa, huyu Yesu wa uzima
I'm no longer a sinner, unalia ju ya dinner
ey, vipi de unajua bila Yesu ni tricky de,
Mimi Wonder de, nakuambia shida zako ni ndogo de anakucheki de everyday ukicomplain to your holiday
hizo vitu ndogo de, mbele yake ndogo ndogo kama odede
(chorus)
hizi vitu ndogo zisifanye nisikuimbie baba
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nikununie baba
hizi vitu ndogo ndogo (ndogo)
hizi vitu ndogo ndogo (ndogo)
hizi vitu ndogo ndogo (ndogo)
hizi vitu ndogo ndogo (ndogo)
Unashinda ukilia kusota hizo vitu ndogo
Kaburini alishinda hata kifo hizo vitu ndogo ahe
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie baba
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nikununie baba
hizi vitu ndogo ndogo (ndogo)
hizi vitu ndogo ndogo (ndogo)
hizi vitu ndogo ndogo (ndogo)
hizi vitu ndogo ndogo (ndogo)
(EMBE RECORDS)