Ataonekana ft. Nimo Gachuiri Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ataonekana ft. Nimo Gachuiri - David Wonder
...
Kwa kushuka Na kupanda
Wasiwasi ukinipanda
Utaonekana bwana x2
Nanikifika mwisho
Na mi ninayo thibitisho
Utaonekana bwana x2
Nasitalia Tena tena tena
Naona umechelewa ila kwako umefika mapema
Na kwa hii njia sema sema semaa
Neno moja tu Na nafsi yangu itatulia tena
Oooh zoom zoom zoom
Wamekwekea sumu sumu sumu
Haita dumu dumu dumu
Ataonekana soon soon soon
CHORUS
Ataonekana bwana
Ataonekana bwana
Ataonekana bwana tena
Bwana ataonekana x2
Wanataka niaibike wafaidike
Nikiomba nisisaidieke eeh
Nisisaidike eeeeeh
Njia zangu zilainishe ujibainishe
Jionyeshe ujibainishee
Na utukuke eeeeh
Mwanadamu kila mtu Na taabu zake
Baba usiniache
Acha nikufwatee
Hujawahi nipa mawe nijipange
Ilhali nahitaji mkate acha nikufwate eeeh
Ooh zoom zoom zoom
Wamekwekea sumu sumu sumu
Haita dumu dumu dumu
Ataonekana soon soon soon x2
CHORUS
Ataone bwana
Ataon bwana
Ataone bwana tena
Bwana ataonekana x2