Tumtazame Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitayainua macho yangu juu
Nitazame milimani
Kwani msaada, msaada wangu
Watoka kwa Bwana
Ni kimbilio letu wanyonge
Tuinue macho yetu juu
Tumtazame yesu
Tumtazame yesu
Tumtazame yesu
Tumtazame yesu
Hakuna pengine pa kimbilio
Isipokuwa kwake yesu
Yeye hutazama wamtafutao
Na wanaonyenyekea
Nikimbilio letu wanyonge
Tuinue macho yetu juu
Tumtazame yesu
Tumtazame yesu
Tumtazame yesu
Tumtazame yesu
Msaada wangu ukwako