
Heri Wenye Moyo Safi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Heri wenye Moyo safi
Maana watamwona Mungu
Heri wenye kiu ya haki
Heri waliao sasa
Maana watafurahi
Neno la Bwana Linasema
Siku Yaja
Furaha wataipata
Furaha hata milele
Furaha wataipata yesu akirudi
Furaha wataipata
Furaha hata milele
Furaha wataipata yesu akirudi
Furaha na raha tutapata
Furaha na raha tutapata
Furaha na raha tutapata
Yesu anaporudi
Yesu anaporudi
Yesu anaporudi
Furaha na raha tutapata
Yesu anaporudi
Yesu anaporudi
Yesu anaporudi
Furaha na raha tutapata
Yesu anaporudi
Furaha na raha tutapata
Yesu anaporudi
Furaha na raha tutapata
Yesu anaporudi
Furaha na raha tutapata
Yesu anaporudi