
Nifumbue Macho Yangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nifumbue Macho Yangu
Ili nizione Baraka zilizo mbele yangu
Bwana
Baraka zilizo mbele yangu!
Uli ahidi utakua na Mimi
Nikikuamini sitapungukiwa
Na ukasema niite Jina lako
Huko mbinguni na utasikia
Sasa Bwana nakuita leo (Leo)
Uje ubariki na kunijaza maisha yangu
Bwana
Nifumbue macho yangu leo
Kwa jina Lako nayaweza yote
Niangukapo nitasimama
Uli ahidi utakua nami
Milele na milele
Niongoze kwa Pendo lako
Katika njia za hatari nisianguke tena
Bwana
Nifumbue macho yangu leo