
Ubatizo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Sisi kama wakristo
Yatupasa kuzaliwa upya
Kwa maji na kwa roho
Kama kristo asemavyo
Kwa maji na kwa roho
Kama kristo asemavyo
Ubatizo wa kweli
Kuzamishwa kwa maji mengi
Kama kristo mwenyewe
Alivyo batizwa
Ndani ya maji mengi
Ndani ya maji mengi
Kwa roho, kwa roho
Mtakatifu
Ubatizo wa kweli
Kuzamishwa kwa maji mengi
Kama kristo
Mwenyewe
Ali alivyo batizwa
Ndani ya maji mengi
Ndani ya maji mengi
Kwa roho, kwa roho
Mtakatifu