
Msifadhaike Mioyo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Msifadhaike mioyo
Mwamini Mungu na mimi
Nyumbani mwa Baba kuna makao
Nakwenda waandalieni
Yesu yuaja u tayari?
Yesu yuaja u tayari?
Je utayari? Akija leo
Yesu yuaja u tayari?
Wasubiri nini ndugu?
Ahadi zake ni kweli
Yesu alikununua calvary
Yuaja kukuchukua juu!
Yesu yuaja u tayari?
Yesu yuaja u tayari?
Je utayari? Akija leo
Yesu yuaja u tayari?
Je utayari? Akija leo
Yesu yuaja u tayari?