Njoo Leo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Kama shida za Dunia hii
Zimekutenga mbali na uso wake
Akuita mwanangu na uje
Kama shida za Dunia hii
Zimekutenga mbali na uso wake
Akuita mwanangu na uje
Njoo leo ulie mdhambi kwa Yesu kuna amani
Njoo wewe ule choka uta pumzishwa
Njoo leo ulie mdhambi kwa Yesu kuna amani
Njoo wewe ule choka uta pumzishwa
Usitazame yaliyo pita
Mungu husamehe na kuyasahau
Atakufanya kua kiumbe kipya
Usitazame yaliyo pita
Mungu husamehe na kuyasahau
Atakufanya kua kiumbe kipya
Kama shida za Dunia hii
Zimekutenga mbali na uso wake
Akuita mwanangu na uje
Njoo leo ulie mdhambi kwa Yesu kuna amani
Njoo wewe ulie choka uta pumzishwa
Njoo leo ulie mdhambi kwa Yesu kuna amani
Njoo wewe ulie choka uta pumzishwa
Njoo leo ulie mdhambi kwa Yesu kuna amani
Njoo wewe ule choka uta pumzishwa
Uta pumzishwa
Uta pumzishwa