
Upendo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Upendo
Nikujitoa wote kwa moyo
Bila kujali
Hakuna la kuzuia watu kupenda
Hiyo ni amri
Kwa kupitia wimbo huu
Ninatamani
Kukueleza siri hii
Ya moyo wangu
Ni kubwa yako thamani
Maishani Mwangu
Na wala sitatamani kukupoteza
Kwa kupitia wimbo huu
Ninatamani
Kukueleza siri hii
Ya moyo wangu
Ni kubwa yako thamani
Maishani Mwangu
Na wala sitatamani kukupoteza
Nakupenda wewe
Hilo naomba ujue
Nakupenda wewe
Kama ninavyojipenda
Nakupenda wewe
Hilo naomba ujue
Nakupenda wewe
Kama ninavyojipenda
Upendo
Nikujitoa wote kwa moyo
Bila kujali
Hakuna la kuzuia watu kupenda
Hiyo ni amri