
Umetubariki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Umetubariki Bwana Yesu
Bwana twashukuru kwa baraka
Tunashukuru kwa yote mema uliyo tutendea
Uhai tulio nao ni pumzi yako Bwanaa
Umetubariki Mwakozi
Umetubariki Bwana Yesu
Umetubariki Bwana Yesu
Umetubariki Bwana Yesu
Umetubariki Bwana Yesu
Umetupatia tuombavyo
Umetupatia nafasi nyingine yakuishi
Rehema zako ni mpya kila asubuhi
Mibaraka yako twaona
Umetubariki Bwana Yesu
Umetubariki Bwana Yesu
Umetubariki Bwana Yesu
Umetubariki Bwana Yesu
Uliahidi kutubariki
Wewe ndiwe mpaji wa vyote
Rehema zako ni mpya kila asubuhi
Mibaraka yako twaona
Umetubariki Bwana Yesu
Umetubariki Bwana Yesu
Umetubariki Bwana Yesu
Umetubariki Bwana Yesu