Tumaini Letu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Tumaini letu litatimika Tumuonapo Yesu mawinguni
Akija kwa utukufu wake Kuwachukua wake
Nipo itasemekana kwamba Fumbo limefumbuliwa sasa
Huyu ndie Mungu tumgojae
Ametuokowa
Kila jicho
Mbingu zote zitatangaza
Ukuu wake Mungu wetu
Na sifa Zake zote
Ndipo itasemekana kwamba
Fumbo limefumbuliwa sasa
see lyrics >>Similar Songs
More from Gifted Ministry
Listen to Gifted Ministry Tumaini Letu MP3 song. Tumaini Letu song from album Safe Landing is released in 2023. The duration of song is 00:03:25. The song is sung by Gifted Ministry.
Related Tags: Tumaini Letu, Tumaini Letu song, Tumaini Letu MP3 song, Tumaini Letu MP3, download Tumaini Letu song, Tumaini Letu song, Safe Landing Tumaini Letu song, Tumaini Letu song by Gifted Ministry, Tumaini Letu song download, download Tumaini Letu MP3 song