![Muhukumu Wa Haki](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/08/e66e010c96b04d6798ae586149b11b36_464_464.jpg)
Muhukumu Wa Haki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Muhukumu Wa Haki - Martha Mwaipaja
...
nalalaaaa
nalalaaaa
palapanda itapigwa aah
itapigwaa
palapanda itapigwa aah
itapigwaa
palapanda itasikika aah
itasikika
palapanda itasikika aah
itasikika
hapo ndipo mfalme wa haki atakapotawala
hapo ndipo mfalme wa kweli atakapotawala
maana dunia ya Leo watu wanapeendeleana
maana dunia ya Leo watu wanapeendeleana
atatawala kwenye duniaa
atatawaala kwenye watu wake
maana dunia ya Leo watu wanapeendeleana
maana dunia ya Leo watu wanapeendeleana
hapo ndipo falme zote za dunia zitanyamaza
mwenye haki ya kwelii, atatawala
atasimamia mahakama zoote kwa haki
atasimamia kesi zote kwa haki
kila mmoja atalipwa sawa
dunia yote itatiishwa kwenye uweza wake
dunia yote itashangaa,alivyo wa hakii
mataifa watajua yeye ni mwema
Hapo ndipo wote tutajua kwamba yeye ni baba
dunia yote itaelewa ni muhukumu wa haki
maana dunia ya Leo watu wanasaaidiana
maana dunia ya Leo watu wanasaaidiana
atatawala asiyejua pendelea mwingine
watu wa Leo wanatazama sifa ya mtu
majira yanakuja ya kujua baba wa kweli
majira yanafika watamjuua Mungu wetu
Leo hawatambui machozi tunayolia
Leo hata ukilia hakuna wakutazama
hata ukiteswa,hakuna wakutazama
wakati unakuja baba atatawala kwa haki
hapo ndipo falme zitajua yeye ni mfalme
hapo ndipo dunia itaelewa yeye ni bwana
tutapanguzwa machoozi yetu na sisi
tutapanguzwa machoozi yetu na sisi
tutaheshimiwa naa dunia na sisi
tutaheshimiwa na waatu wote na sisi
hawawezi itambua haki yako Leo hii
maana dunia ya Leo watu wanasaaidiana
hakuna wakutetea maisha yako
maana tawala za Leo oo wanapeendeleana anakuja mtawala wa haki kutusaidia
anakuja mtawala wa haki kutusaidia
utafuraahi na baba
tutashangiliaa kwa baba
maana falme yake baba itakua ni yenye haki
maana falme yake baba itakua ni yenye haki
baba yetu atatawala haa haa
atatawalaa haa
atatawaala
masiyaah, masiyaah
atatawalaa haa
atatutawala kwa haki
masiyaah
atatawalaa haa
atatawala
atatulipa wotee
atatawalaa haa
eeh baba eeh baba
babaa
atatawalaa haa
atatubeembelezaa
baaba
atatawalaa haa
atatawala baba
atatawala babaa
atatawalaa haa
atatawalaa
masiya wetu
atatawalaa haa
atatulipa Yesu
atatulipa Yesu
atatawalaa haa
eeh baba eeh baba
atatawalaa
atatawalaa haa
atatawalaa atatawalaa
atatawalaa
atatawalaa haa
atatawala
kwa haki baba atatawala
atatawalaa haa
uuuuhh
nalalalaaaa
aah