- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Mikate - AIC Chang'ombe Vijana Choir
...
mtu awezi kuishi pekeake kwa mikate Mimi siwezi kuishi pekeangu kwa mikate wewe uwezi kuishi pekeako kwa mikate bali kwa neno la uzima bali kwa neno la uzima x2 kweli kwa neno la uzima tuishi kwa neno la uzima
watu wanapenda mikate,,mikate x3
mikate mikate X3
yesu alipolisha watu 5000 mikate na Kesho yake walimtafuta awape mikate bwana yesu alipofanya muujiza wa mikate Kesho yake watu walifurika awape mikate
mikate X 3 umthaniae sie ndie akipewa
mikate Judah alimsaliti yesu sababu ya mikate watu wengi uuza haki zao kwa kitu mikate Esau alikosa baraka kwa sababu ya mikate
mikate X 3 jamani mikate
mikate X 4 watu wanapenda mikate mikate X 2 watu wanapenda penda mikate watu wanapenda mikate
Huna sifa ya kuongoza Bali Unayo mikate utapata Kura nyingi kwa kugawa iyo mikate ona haki inavyopindisha kwa sababu ya mikate wanyonge ukosa haki i sababu hawana mikate ujanja ujanja kila Kona sababu ya mikate watu wanasema uongo hili wapewe mikate mauaji ya kinyama usababisha na mikate vita vya wenyewe kwa wenyewe vinalenga mikate
mikate X 3 jamani mikate tutafute kwanza uso wa bwana Ayo mengine tutaongezwa tutafute Kwanza ufalme wa bwana hayo mengi tutaongezwa
see lyrics >>Similar Songs
More from AIC Chang'ombe Vijana Choir
Listen to AIC Chang'ombe Vijana Choir Mikate MP3 song. Mikate song from album Usiku Wa Manane is released in 2013. The duration of song is 00:05:20. The song is sung by AIC Chang'ombe Vijana Choir.
Related Tags: Mikate, Mikate song, Mikate MP3 song, Mikate MP3, download Mikate song, Mikate song, Usiku Wa Manane Mikate song, Mikate song by AIC Chang'ombe Vijana Choir, Mikate song download, download Mikate MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Agnes6fqvt
Joel f0r8v
love it[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
Tabitha ce4vd
mbona nyimbo zenu zingne hazionekani
AnthonyNeema
It is so pretty
mikatee